(SWAHILI) QURAN SURE SEÇİNİZ
|
|
| 103 - AL - A'S'R |
| KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU. |
![]() |
| 1. | Naapa kwa Zama! |
| 2. | Hakika binaadamu bila ya shaka yumo katika khasara, |
| 3. | Ila wale walio amini, na wakatenda mema, na wakausiana kwa haki, na wakausiana kusubiri. |
